matumizi ya internet yameifanya dunia kuwa kama kijiji |
Digital video or audio composition
– utengenezwaji wa sauti za muziki pamoja na picha za kuona (video and
audio production) umerahishwa zaidi kwa kutumia kompyuta.haitumii tena
mamilioni ya hela katika kutengeneza muziki au picha za kuonesha .Dunia
ya leo utengenezwaji wa filamu umekuwa wa muda mfupi na usiotumia
gharama nyingi kwa sababu ya matumizi ya kompyuta.
utengenezaji wa filamu kwa kutumia kompyuta |
Desktop publishing -imekuwa rahisi katika utengenezwaji wa vitabu mbali mbali na kwa muda mfupi yote kwa sababu ya matumizi ya kompyuta .
mwanamke akiandaa chapisho kwa kutumia kompyuta |
Computers in Medicine
-matumizi ya kompyuta yapo hadi mahospitalini katika kugundua matatizo
au magonjwa mbali mbali ya binadamu kompyuta imekuwa ikitumika
(diagnosis)
daktari akiangalia matokeo ya vipimo kipitia kwenye kompyuta |
Mathematical Calculations
- kompyuta imekuwa na msaada mkubwa katika kurahisisha mahesabu
.Matumizi ya kompyuta yamesaidia watu kufanya mahesa kwa urahisi na kwa
muda mfupi
Subscribe to:
Posts (Atom)