HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA DOKII BAADA YA KUNYOA NYWELE NA KUCHORA TATUU YENYE JINA LA MTOTO WA MH RAIS! [MAPICHA]
PICHA hizi ni kwa hisani ya masainyotambofu.com

HAPA mwanadada Dokii akiwa katika harakati za kampeni huko kijijini Miono Chalinze.. Hapo kichwani aliamua kuandika Jina la Mh/ Ridhiwani kwa kifupi RIZ, Msanii huyo mkongwe aliyejizolea mashabiki katika Tamthilia ilitotamba hapa nchini MAMBO HAYO iliyokuwa ikirushwa katika runinga ya ITV miaka ya nyuma. Siku ya

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni