ANGALIA JINSI MABLOGA WALIVYOPEWA VYETI NA TCRA
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti
cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao huu wa
Sufianimafoto, Muhidin Sufiani, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo
yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza Septemba 17 huku
yakiwashirikisha mabloger mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao
wa Bongo Celeblate, Jeff Msangi, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo
yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano.
Othman Michuzi, akipokea cheti.
Shamim Mwasha, akipokea cheti.
Cathbert Kajuna, akipokea cheti...
Dj Choka, akipokea cheti.
Maxence Melo, kipokea cheti.
Sinta, akipokea cheti.
Mmiliki
wa Mtandao wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani (kulia) akiwa na mmiliki
wa Mtandao wa Bongo Celeblate, Jaff Msangi, wakati wa semina maalum kwa
wamiliki na waendeshaji wa mitandao pendwa Bloggers, iliyoandaliwa na
Mamlaka ya Mawasiliano TCRA,
Mmiliki wa Mtandao wa Mbeya Yetu, Joseph Mwaisango, akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
Innocent Mungy wa TCRA, akizungumza wakati wa mafunzo hayo.....
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni