FANANI WA HARD BLASTERS ARUDI TENA NA NGOMA YA NIMEKUELEWA AKIMSHIRIKISHA PIPI
SOMA HABARI YAKE HAPA>>>>>>>>>....
http://www.habarimasai.com/zilizopita/item/1993-unamkumbuka-fanani-wa-hard-blasters-crew?-arudi-tena
C9 Kanjenje producera machachali akiwa ndani ya studio yake ya C9 record iliyopo Kinondoni Manyanya jijini Dar es Salaam.
Shuguli za ufungaji zinaendelea C9, Eric na Ami’s touch wakifunga nyaya za sauti katika mixer kwa ajili ya kuanza kazi rasmi.
Ami’s
touch na Eric wakifunga mic katika studio za c9 record Kinondoni
Manyanya jijini Dar es Salaam tayari kwa kuanza kazi rasmi..
Hiki ndio kinanda watakachotumia wanafunzi watakaokuwa wanajifunza utengenezaji wa muziki..
KWA HABARI KAMILI SOMA HAPA: http://www.habarimasai.com
Producer mdogo anayetikisa jiji la Dar es
Salaam C9 Kanjenje leo amezindua rasmi studio yake maeneo ya Kinondoni
Manyanya jijini Dar es Salaam itakayokwenda kwa jina la C9 RECORD.
ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA>>>
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa msanii Lucas Mhavile maarufu kama Joti mdebwedo, na hii ndio keki aliyoandaliwa katika siku yake hii.
Keki hii inanifanya nifurahi kila ninapoiona kutokana na ilivyoandaliwa muundo wa sura yake kama inavyoonekana...
Happy B'day Andunje a.k.a Joti.
Pia Joti ametoa shukrani kwa ndugu, jamaa marafiki na mashabiki wote.
"Leo ni siku yangu ya kuzaliwa. Namshukuru Mungu toka aliponitoa mpaka hapa nilipo na ninapoelekea, wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, mashabiki, na maadui pia kama wapo. Tuko pamoja sana!"
Baadhi ya waandishi wa habari waliokuwepo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Taifa jana.
Msanii Mboto akicheza kiduku kutokana na
wimbo uliokuwa unaimbwa na mzee Yusuph, Msanii huyu jana alicheza sana
kiduku mpaka watazamaji wakaacha kumsikiliza mc na kuanza kumshangilia
yeye kitendo kichomfanya mshereheshaji huyo kumuomba aache kucheza
kwanza..
Wasanii M 2the P akiwa na Bright Job nao
wachezaji wa timu ya Bongo Flava baada ya kumaliza mechi yao na Bongo
muvi..wakiwa wamevalia matishirt yenye ishara ya kumuenzi msanii mwenzao
Mangwea aliyefariki mwishoni mwa mwezi May huko Afrika ya Kusini, pia
wasanii wote wa Bongo flava walivalia matisht hayo yaliyoandikwa R.I.P
Ngwea
Mchizi Mox, M 2the P na Bright Job Taifa...
Baadhi ya watu waliohudhuria Tamasha la Usiku wa matumaini
Rais Jakaya Kikwete akihutubia kabla ya mechi kuanza...
Mazoezi kabla ya mechi,....
Rais akikagua timu zote mbili kabla ya mchezo....
Filimbi ilipulizwa na Rais ili mchezo kuanza.....
Mkurugenzi wa Globar Publishers, Eric
Shigongo akiwa ameshikilia Kombe ambalo lilikabidhiwa kwa washindi ambao
ni wabunge wa Yanga.
Hiki ndicho alichoongea...
The Queen of Saudi Arabia - Fatima Kulsum Zohar Godabari. A while ago, the world had the rare opportunity of beholding her beauty when she was photographed without her Niqab covering her face. Her skin, bulgy eyes, lips, facial structure...OMG!!! 'A miracle work of Nature'.
WHAO you say? yeah, Me too. lol! - shes got a magnificent makeup artist....i mean who ever it is, that is an unbelievable work of art!
Do you accept that shes truly the most beautiful woman on the surface of the earth?
Thoughts!
Do you accept that shes truly the most beautiful woman on the surface of the earth?
Thoughts!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni