Jumatano, 18 Juni 2014


Habari Kuu

Serikali kulipa riba Sh5 bilioni deni la miezi sita

Posted 11 hours ago
Serikali italazimika kulipa hasara ya zaidi ya Sh5.2 bilioni (Dola za Marekani milioni 3.1) ambazo ni riba ya malimbikizo ya malipo ya miezi sita kwa Kampuni ya Jacobsen Elekron AS inayotekeleza awamu ya kwanza ya mradi wa umeme wa Kinyerezi, Dar es Salaam....

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni